Akuna Mungu Kama Wewe
Lyrics
Ooooh Yesueee pokea sifa
Chorus
Mungu Kamama wewe
Mungu Kamama wewe
Mungu Kamama wewe Ewe Mungu wangu
Mungu Kamama wewe
Mungu Kamama wewe
Mungu Kamama wewe Ewe Mungu wangu
Verse 1
Mwanzo wa uzima
Wewe Mungu wa salama
Tegemeyo letu baba
Ewe Mungu wangu
Muumba wa duniya
Takufananisha na nani
Hakuna Mungu kama wewe
Ewe Mungu wangu
Chorus
Hakuna: Mungu kama wewe
OO Hakuna: Mungu kama wewe
OO Hakuna: Mungu kama wewe
Ewe Yesu: Ewe Mungu wangu
Ooh Hakuna: Mungu kama wewe
Wa mapendo: Mungu kama wewe
Wa uzima ni wewe :Mungu kama wewe
Ewe Mungu wangu
Verse 2
Mwanzo wa vizazi
Wewe kimbilio letu
Wa uwezo ndiye wewe
Ewe Mungu wangu
Aubadilike kamwe
Sifa ikwelekeye Mungu
Nainuwa Jina lako Yesu
Ewe Mungu wangu
Chorus
Oh nasema : Asante
Kweli na sema : Asante
Kwa yote umefanyae :Asante
Yesu
Kweli nasema : Asante
Yesu nasema : Asante
Ooh nasemae :Asante
Yesu
Kwa nehema yako
Bwana nasema
Nasema a
Ewe Yesu
Kwa Uwezo Yako Yesu
Aubadilike Yesu ee
Wa uzima ni wewe
Nasema